Email Us

MINISTRY OF HEALTH

NATIONAL PUBLIC HEALTH LABORATORY

ISO 15189:2012 ACCREDITED

ZIARA YA WAGENI KUTOKA CDC

Posted on: October 1st, 2026

Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dkt. Peter Mbelele, amepokea ziara ya heshima kutoka “U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC)” nchini Tanzania yenye lengo la kuimarisha ushirikiano na kuendeleza mahusiano ya kikazi baina ya Taasisi hizo, hususan katika masuala ya Usalama wa Afya Duniani (Global Health Security). Ziara hiyo imetoa fursa muhimu kwa Maabara ya Taifa kuweza kuonesha uwezo ilionao katika upimaji na udhibiti wa magonjwa hususani ya mlipuko. Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi wa Kituo hicho Dkt.Mahesh Swaminathan ambae pamoja na majadiliano hayo alimpongeza Dkt. Mbelele kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Maabara ya Taifa.




LOCATION

ADVERT

image description

VIDEO GALLERY

Contact Us

  • Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii
  • EPZA area,mandela road
  • S.L.P 9083, Dar Es Salaam
  • Telephone: +255 734 677 337
  • Mobile: +255 734 677 338

Visitors Counter

  • Today 19
  • Yesterday 375
  • This Week 1773
  • This Month 394
  • All Days 122858
@ NPHL.All Rights Reserved
@ Developed By NPHL & MOH Team
}