MINISTRY OF HEALTH
NATIONAL PUBLIC HEALTH LABORATORY
ISO 15189:2012 ACCREDITED
UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KISAYANSA LA WATAALAMU WA MAABARA WANAFUNZI
Posted on: April 29th, 2023
Hafla ya ufunguzi wa kongamano la kisayansi la wataalamu wa Maabara wanafunzi, Mgeni rasmi akiwa Mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Rashid Mfaume.
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitembelea Banda letu na kujua huduma zitolewazo na Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii
Aidha katika hafla hiyo Meneja wa Maabara ya Taifa alizungumza na wanafunzi wa tasnia hiyo kuhusu umuhimu wa fani hiyo ya Maabara.
Contact Us
- Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii
- EPZA area,mandela road
- S.L.P 9083, Dar Es Salaam
- Telephone: +255 734 677 337
- Mobile: +255 734 677 338
Related Links
Useful Links
Visitors Counter
- Today 57
- Yesterday 270
- This Week 947
- This Month 515
- All Days 30058
@
NPHL.All Rights Reserved
@
Developed By NPHL & MOH Team