11 EAST AFRICAN PETROLEUM CONFERENCE AND EXHIBITION 11
View
Waziri wa Nishati Mhe, Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja wakati akizindua mradi wa uchimbaji wa visima vitatu ambapo viwili ni kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay na kimoja kwa ajili ya utafutaji huku utekelezaji umefikia asilimia 58 tarehe 27 Februari 2026 mkoani Mtwara
View
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa kupooza umeme uliopo Mkata mkoani Tanga ambao chenye uwezo wa 2X60MVA 132/33kV, pamoja na ujenzi wa njia za kusambaza umeme msongo wa kilovoti 33 yenye urefu wa kilomita 45 kutoka kituo cha Mkata kwenda kijiji cha Kwamsisi
View
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amezindua mradi wa kusambaza mifumo ya umeme jua visiwani unaolenga kuweka mifumo 20,000 ya umeme jua katika visiwa 120 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8 ambapo Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka ruzuku hadi ya asilimia 75 katika gharama za uunganishaji umeme.
View
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameshiriki Mdahalo wa Ngazi ya Juu wa Mawaziri ulioandaliwa na Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA) jijini Paris, ambapo ameeleza kuhusu mafanikio yanayoendelea kupatikana Tanzania katika nishati safi ya kupikia.
View
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba (Mb.), akipika kwa nishati
safi ya kupikia mara baada ya kuzindua mradi huo katika Shule ya
Sekondari ya Wasichana Kondoa Mkoani Dodoma leo tarehe 17.02.2026.
View
Picha ya pamoja ya viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani katika Maadhimisho ya Wiki ya Nishati yaliyo adhimishwa katika Jimbo la Goa’ nchini India kuanzia tarehe 27-30 January 2026.
View
Mradi wa umeme jua wa Kishapu mkoani Shinyanga utakaozalisha megawati 150. Kwa sasa mradi umeanza kuzalisha megawati 50 ikiwa ni utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi.
View
Waziri wa NishatiMhe, Deogratius Ndejembi azindua Mita janja katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wadau wa sekta ya nishati na watendaji wa TANESCO, Disemba 05, 2025.
View
Mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere umejengwa katika maporomoko ya mto Rufiji umekamilika na una uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 2,115.
View
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla wa uapisho wa mawaziri iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma
View
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome W. Makamba (Mb), akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa mawaziri iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.